27.11.2020 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 27.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

27.11.2020 Matangazo ya Mchana

Chadema yakumbwa na shinikizo kuwatimua wabunge 19 walokiuma msimamo wa chama// Uganda- Viongozi wa upinzani wahangaishwa na polisi// Wajumbe wa amani wa Umoja wa Afrika leo hii wamekutana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed// Waendesha mashtaka wa serikali ya shirikisho ya Ujerumani wanachunguza ushahidi wa matumizi ya kemikali katika vita vya Syria.

Sikiliza sauti 59:59