Tanzania- Wabunge wa Chadema waloapishwa wakaidi mwito kuwataka kujieleza// Jaji Mkuu wa Kenya atoa hotuba yake ya mwisho kwa taifa// Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amewaambia wajumbe wa Umoja wa Afrika kuwa serikali yake itawalinda raia wa jimbo la kaskazini la Tigray// Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu Kenya watuzwa.