27.11.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 27.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

27.11.2020 Matangazo ya Asubuhi

Makali ya janga la COVID-19 yamewafanya baadhi ya wakaazi nchini Kenya kujitoa mhanga kukabiliana na ueneaji wa virusi vya corona kwa kushiriki kuyafukizia maeneo ya umma pamoja na shughuli za kuhamasisha umma// Rais mteule wa Marekani Joe Biden ameanza kufanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaoshika nyadhifa tofauti za uwaziri katika serikali yake.

Sikiliza sauti 51:59