1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.11.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Novemba 2019

Kenya/ ripoti ya BBI: Viongozi wamewataka wanasiasa kutotumia hafla ya leo kuunda miungano ya kisiasa taifa linapoelekea kwenye uchaguzi na badala yake kuunganisha Wakenya/ Bunge la Ulaya limeidhinisha kwa kura nyingi, wajumbe wapya wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya/ Ujerumani: Malumbano yamegubika majadiliano ya bajeti ya serikali kuu bungeni/ Misri yatuhumiwa kuwakandamiza wapinzani

https://p.dw.com/p/3TqHI