1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.10.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S27 Oktoba 2021

Jeshi la Sudan limefanya mapinduzi dhidi ya serikali ya taifa hilo, licha ya kwamba maafisa wa kijeshi walikuwa sehemu ya serikali hiyo. Hali hiyo inaiweka Sudan katika hatari ya kukosa uungwaji mkono ndani ya nchi na hata kimataifa/ Tigray: Hali ya kiutu kwa raia inazidi kuwa mbaya/ Congo: Kesi ya aliekuwa Waziri Mkuu Matata Ponyo imeanza kusikilizwa

https://p.dw.com/p/42EA8