1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.10.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S27 Oktoba 2020

Kiongozi wa upinzani Zanzibar Maalim Seif akamatwa// Chama cha ACT Wazalendo chasema watu watatu wameuwawa katika vurugu visiwani Zanzibar// Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guteres ametoa wito kwa mamlaka zote zinazohusika na uchaguzi mkuu nchini Tanzania kuhakikisha uchaguzi huu unafanyika kwa amani na utulivu huku ikijumuisha makundi yote yanayoshiriki katika siasa.

https://p.dw.com/p/3kUUf