27.10.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 27.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

27.10.2020 Matangazo ya Asubuhi

Rais wa Tanzania John Magufuli aliingia madarakani mwaka 2015, akichukuliwa kama mtu wa watu na mwanaharakati anayepinga vikali ufisadi na kuchukua hatua kali dhidi ya uhalifu huo kama alivyoahidi// Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa zamani akiwa pia kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga wamezindua rasmi ripoti ya maridhiano, maarufu BBI inayolenga kuwaunganisha Wakenya pamoja.

Sikiliza sauti 51:59