1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.10.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S27 Oktoba 2017

Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee anaongoza kwenye matokeo ya kura za awali dhidi ya wagombea wengine sita kwenye uchaguzi mpya wa urais nchini Kenya// Serikali ya Uhispania leo inatarajiwa kuchukua mamlaka ya kuongoza shughuli za utawala za jimbo la Catalonia, huku polisi jimboni humo wakiwa kwenye majaribio, jee watatii amri ya serikali kuu mjini Madrid?

https://p.dw.com/p/2mbE7