1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.09.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S27 Septemba 2018

Viongozi wa Afrika wanaohudhuria kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York wameendelea kutoa miito ya kukuza ushirikiano, ambapo Rais Hage Geinob wa Namibia amesema ana hofu anapoona dunia ikigawika zaidi

https://p.dw.com/p/35a1y