1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.06.2020 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S27 Juni 2020

Marais wa Urusi na Ufaransa wamefanya mkutano kwa njia ya video na kuahidi kuimarisha ushirikiano zaidi. Umoja wa Ulaya umeshindwa kuafikiana kuhusu kufungua mipaka yake kwa raia wa mataifa mengine. Upinzani unaelekea kupata ushindi katika uchaguzi wa rais nchini Malawi.

https://p.dw.com/p/3eQ3b