1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.05.2018 Matangazo ya Mchana Saa 7.00 (Afrika Mashariki)

John Juma
27 Mei 2018

Rais wa Marekani Donald Trump, amesema mazungumzo kuhusu uwezekano wa kufanyika mkutano wa kilele na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un yanaendelea vyema.// Ireland imepitisha kwa asilimia kubwa kura ya maoni ambayo inaondoa sheria kali za kutoa mimba.// Colombia leo inapiga kura kumchagua rais mpya, katika uchaguzi ambao umeligawa taifa hilo na unaoweza kuathiri mkataba wa amani

https://p.dw.com/p/2yP0w