1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.04.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S27 Aprili 2020

Waziri Mkuu wa Uingereza arejea kazini/ Congo: wakaazi wa mji wa Uvira katika mkoa wa Kivu Kusini wamekaidi maagizo ya viongozi wao yanayohusu hatua za kupambana na kuenea kwa ugonjwa wa Corona/ Waasi wa kusini mwa Yemen wametakiwa kuzingatia mpango wa kugawana madaraka/ Ripoti ya SIPRI- matumizi ya kijeshi yaongezeka duniani

https://p.dw.com/p/3bT6Y