27.02.2021 - Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

27.02.2021 - Matangazo ya Asubuhi

Serikali ya Saudi Arabia yakanusha mwanamfalme Mohammed Bin Salmin kuagiza kuuliwa kwa Jamal Khashoggi. Syria na Iran zimelaani shambulizi lililofanywa na Marekani jana dhidi ya wapiganaji wenye silaha. Zaidi ya wafungwa 400 wametoroka jela nchini Haiti.

Sikiliza sauti 51:59