1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.01.2022 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S27 Januari 2022

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema kutakuwa na mazungumzo ya kusitisha mapigano kati ya serikali yake na wapiganaji wa jimbo la Tigray+++Mashirika ya kijamii mjini Mombasa yameanzisha mchakato wa kuwahamasisha vijana wajitokeze kwa wingi na kujisajili kama wapiga kura+++Misri, Guinea ya Ikweta zatinga robo fainali AFCON kwa penalti.

https://p.dw.com/p/469LE