1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.11.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S26 Novemba 2019

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta leo anatarajiwa kuipokea ripoti ya Maridhiano maarufu kama BBI// Jumuiya ya Afrika Mashariki Jumamosi hii inafikisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake. Hata hivyo jumuiya hiyo inatimiza miaka 20, huku kukiwa na changamoto kadha wa kadha, wakati ikijiandaa na maandalizi ya kuunda shirikisho la kisiasa.

https://p.dw.com/p/3TjMt