26.10.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 26.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

26.10.2020 Matangazo ya Jioni

Rais Kenyatta azindua ripoti rasmi ya maridhiano 'BBI'/ Tanzania: Uchaguzi unatarajiwa kuwa kipimo cha uvumilivu kwa mtindo wa uongozi wa Magufuli/ Congo: Mahojiano kuhusu hatua ya Tshisekedi kutaka kukutana na viongozi wa kisiasa na kijamii kwa ajili ya kuanzisha mfumo mpya wa serikali/ Waasi 78 wauawa Syria/ Belarus: Kiongozi mkuu wa upinzani ametangaza mgomo wa nchi nzima

Sikiliza sauti 60:00