26.10.2016 Matangazo ya mchana | Habari za Ulimwengu | DW | 26.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

26.10.2016 Matangazo ya mchana

Baada ya Afrika Kusini na Burundi Gambia sasa imejiunga na orodha ya nchi zenye nia ya kutaka kujiondoa kabisa katika mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za uhalifu wa kivita duniani ICC// Mahakama ya juu ya nchini Angola imemuagiza rais wa nchi hiyo, Jose Eduardo dos Santos kujibu tuhuma kuhusu sababu za kumteua binti yake kuongoza kampuni ya taifa ya mafuta.

Sikiliza sauti 59:59