26.05.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 26.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

26.05.2020 Matangazo ya Asubuhi

Kila mwaka Waafrika wanaoishi nje ya bara hilo wamekuwa wakituma mabilioni ya dola za Kimarekani kwa familia zao zilizoko barani humo// Je, janga la virusi vya corona hili litawasukuma wanadamu kuwa na mahusiano mazuri na mazingira?// Kutokana na dunia kuteseka na virusi vya corona, wanasayansi wa Afrika, wahandisi na wabunifu hivi sasa wamegeukia masuluhisho yanayopatikana ndani ya nchi zao.

Sikiliza sauti 51:59