26.02.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 26.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

26.02.2021 Matangazo ya Mchana

Chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania, kimeanza vikao vyake vya ndani, kumchagua mrithi wa Maalim kama makamu wa rais// Mauaji ya balozi wa Italia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamezusha mvutano kati ya nchi hizo mbili// Marekani kutoa ripoti kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi// Jeshi la Marekani limefanya mashambulizi ya anga kwenye maeneo ya mashariki mwa Syria.

Sikiliza sauti 60:00