26.01.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 26.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

26.01.2021 Matangazo ya Jioni

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani kwa sasa nchini Uganda Robert Kyagulanyi amekariri kuwa harakati zake za kumng’oa rais Museveni zinaendelea// Rais wa Afrika Kusini na mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Cyril Ramaphosa ameyatolea wito mataifa tajiri kutohodhi dozi za ziada za chanjo ya Covid-19// Mawaziri wa mambo ya nje wa Urusi na Iran wametoa wito wa kuokolewa kwa mkataba wa nyuklia wa Iran.

Sikiliza sauti 60:00