1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.11.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S25 Novemba 2019

Ulimwengu unaadhimisha siku ya kupambana na ukatili dhidi ya wanawake/ Tanzania: Wizara yenye dhamana ya chaguzi za serikali za mitaa, vijiji na vitongoji, imetangaza rasmi matokeo ya uchaguzi/ Pokot Magharibi: Idadi ya vifo vilivyotokana na maporomoko ya ardhi imeongezeka na kufika 65/ Meya wa Bujumbura ametangaza hatua 10 alizozitaja kama za kusaidia kuufufua uchumi wa Burundi

https://p.dw.com/p/3ThHs