25.10.2019 - Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 25.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

25.10.2019 - Matangazo ya Asubuhi

Rais Evo Morales wa Bolivia ameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita. Marekani inalenga kutuma wanajeshi zaidi kulinda visima vya mafuta nchini Syria. Umoja wa Ulaya utajadili leo kurefushwa kwa muda wa Brexit.

Sikiliza sauti 51:59