25.08.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 25.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

25.08.2021 Matangazo ya Mchana

Uingereza: Muda wa mwisho wa uhamishaji Afghanistan ni mwisho wa mwezi huu+++Kundi la kwanza la wakimbizi wa Afghanishan limewasili Uganda asubuhi ya leo+++Kenya- Mzozo wa maneno kati ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto umechukua mkondo mpya baada ya Ruto kushikilia kuwa hatojiuzulu kwa vyovyote +++Marekani na Ulaya zaonya wanajeshi wa Eritrea kuingia Tigray.

Sikiliza sauti 59:59