Mshambuliaji aua watu kadhaa nchini Tanzania/ Kenya na Tanzania zimetia sahihi mikataba mitatu muhimu ya kuboresha mahusiano baina ya mataifa hayo/ Merkel asema jumuiya ya kimataifa lazima ikubali kuzungumza na kundi la Taliban/ Rwanda kuwapokea wakimbizi kutoka Afghanistan/ Algeria imeamua kuvunja mahusiano yake ya kidiplomasia na taifa jirani la Morocco