25.02.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 25.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

25.02.2021 Matangazo ya Jioni

Mvutano wa kisiasa wapamba moto Armenia// Jiji la Dar es salaam limeanza kuendesha mambo yake katika sura mpya kufuatia hatua ya Rais John Magufuli kuvunja Halmashauri ya Jiji// Nchini Burundi kwa ripotiwa upungufu mkubwa wa vyumba vya kuhifadhia maiti, kiasi kwamba familia zilizofiwa na wapendwa wao zinalazimika kutoa hongo ili kupata nafasi chache zilizopo.

Sikiliza sauti 60:00