1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.01.2021 - Taarifa ya Habari za Asubuhi

25 Januari 2021

Rais wa Mexico Andres Manuel Lopez amegunduliwa kuwa na virusi vya corona. Viongozi wa Marekani na Ufaransa wamekubaliana kuimarisha ushirikiano kwa kufanya kazi kwa karibu. Watu wasiopungua 9 wamekufa nchini Msumbiji kutokana na kimbunga cha kitropiki.

https://p.dw.com/p/3oMNN