24.11.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 24.11.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.11.2021 Matangazo ya Jioni

Vyama vya Ujerumani vyafikia makubaliano ya kuunda serikali mpya/ Wajawazito kurejea shuleni Tanzania/ Uganda: Mkutano wa ngazi ya mawaziri wanaoshughulikia vitendo vya ukeketaji/ Human Rights Watch: Walinzi wa mpakani wa Belarus waliwatesa wahamiaji katika mpaka wa nchi hiyo na Poland, mataifa yote mawili yalikiuka pakubwa haki za binadamu

Sikiliza sauti 60:00