24.11.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 24.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.11.2020 Matangazo ya Jioni

Nchini Tanzania hatimaye wabunge wateule wa viti maalum wa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA wameapishwa hii leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma// NATO, EU wamwalika Biden kujenga upya uhusiano na Marekani// Pande zinazozozana nchini Ethiopia zinatupiana maneno makali ambayo Umoja wa Mataifa unahofia yanaweza kuchochea zaidi ukiukaji wa haki za binadamu na wananchi kuzidi kuumia.

Sikiliza sauti 60:00