24.11.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 24.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.11.2020 Matangazo ya Asubuhi

Nchi za Afrika kwa mara nyingine zinakabiliwa na mgogoro mwingine mkubwa wa madeni/ Mashirika mbali mbali ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya yanaitaka serikali kushughulikia kwa dharura mahitaji ya madakrati/ Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alifanya safari ya siri ya kwenda nchini Saudi Arabia Jumapili iliyopita na kukutana na Mwanamfalme Mohammed bin Salman pamoja na Mike Pompeo.

Sikiliza sauti 51:59