24.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi | Habari za Ulimwengu | DW | 24.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

24.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

24.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

Sikiliza sauti 08:00

Wataalamu washuku uchakachuaji katika mfumo wa kielektroniki uchaguzi nchini Marekani, na kutaka kura zihesabiwe upya katika baadhi ya majimbo muhimu, Bunge la Ulaya kupiga kura leo, juu ya iwapo mchakato wa Uturuki kujiunga na Umoja wa Ulaya uendelee au la, Rais wa Uturuki asema kura hiyo haiwashughulishi waturuki, na Rais Mteule wa Marekani Donald Trump amteuwa balozi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa.