1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S24 Novemba 2016

Kundi la wataalamu wa sheria za uchaguzi na data za kompyuta limeishauri kampeni ya aliyekuwa mgombea wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais wa Novemba 8 nchini Marekani, Hillary Clinton, kutaka kura katika majimbo matatu muhimu zihesabiwe upya// Rais wa bunge la Umoja wa Ulaya Martin Schulz ametangaza rasmi kuwa ataingilia siasa za Ujerumani na huenda atawania kiti cha ukansela.

https://p.dw.com/p/2TAKh