24.07.2019 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 24.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.07.2019 Matangazo ya Asubuhi

Katika miezi ya hivi karibuni jimbo la Ituri katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limekosa usalama// Wasiwasi wa ajira zaidi ya elfu moja kupotea umetanda miongoni mwa Watanzania baada ya Sheria ya Uwakala wa Meli kuanza kutumika// Shirika la Afya duniani hivi karibuni, lilitangaza janga la Ebola kuwa dharura ya kimataifa.

Sikiliza sauti 51:59