24.06.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 24.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.06.2021 Matangazo ya Jioni

Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Kimaendeleo Kusini mwa Afrika SADC, wamekubaliana kupeleka vikosi vya wanajeshi Msumbiji+++Wananchi wengi wa Ituri wamefurahia Kufuatia kukamatwa kwa maafisa wa jeshi la Jamhuri ya Kongo kwa tuhuma za kudanganya kuhusu idadi ya wanajeshi+++Kwa mara ya kwanza baada ya kutofanyika kwa miaka 19 mashindano ya mbio za magari maarufu Safari Rally yatifua vumbi tena Kenya.

Sikiliza sauti 60:00