1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.04.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S24 Aprili 2018

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe Brigitte wapo katika Ikulu ya Marekani mjini Washington katika ziara rasmi ya siku tatu// Jumuia ya kimataifa inakutana mjini Brussels kwa lengo la kukusanya fedha kuwasaidia wasyria zaidi ya milioni tano waliokimbilia katika nchi jirani pamoja na wengine milioni sita na laki moja walioyapa kisogo maskani yao na kutawanyika nchini mwao.

https://p.dw.com/p/2waC3