24.02.2020 Matangazo Ya Mchana | Media Center | DW | 24.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.02.2020 Matangazo Ya Mchana

Tume huru ya uchaguzi nchini Togo imemtangaza rais Faure Gnassingbe kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais// Chama cha siasa za wastani za mrengo wa kushoto cha Social Democrats SPD, kimeibuka mshindi katika uchaguzi wa jimbo la Hamburg nchini Ujerumani

Sikiliza sauti 51:59