1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.07.2015 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Julai 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni pamoja na:Umoja wa Afrika umesema umeanza kuweka wanajeshi na wachunguzi wa haki za binadamu nchini Burundi baada ya uchaguzi uliofanyika siku ya Jumanne// Rais Barack Obama wa marekani anatarajiwa kuwasili Kenya kesho Ijumaa kuanza ziara ya siku mbili nchini humo.

https://p.dw.com/p/1G3tL