1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.06.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Juni 2022

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema kwamba mpaka sasa kuna pengo katika upatikanaji wa chanjo za Corona miongoni mwa mataifa+++Rwanda leo imekuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa kutokomeza malaria na magonjwa 20 ya kitropiki yasiyopewa kipaumbele+++Wakuu wa nchi zinazounda kundi la BRICS, yaani Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini, wanakutana kwa njia ya vidio.

https://p.dw.com/p/4D9Q9