23.03.2020 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

23.03.2020 Matangazo ya Jioni

Juhudi za dharura za kimataifa za kujaribu kupunguza kasi ya kusambaa virusi vya Corona zimeongezeka leo Jumatatu huku mataifa zaidi yakijiunga katika harakati za kuweka sheria kali za kuwazuia watu kutembea mitaani// Burundi hadi wakati huu haijaripoti kisa cha maambukizi ya virusi vya Corona//Ujerumani- Kansela Merkel yuko karantini, lakini hakuna kitu cha kuhofia.

Sikiliza sauti 60:00