1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.02.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Februari 2021

BBI yapitishwa na zaidi ya kaunti 24/ Ujumbe wa polisi ya Italia unatarajiwa kuwasili katika Jamhuri ya Kidemokrsia ya Kongo, kusaidia katika uchunguzi kwenye mauaji ya balozi wa Italia/ Mshirika wa Trump alikiuka kikwazo cha silaha Libya/ Ukraine imeifungulia kesi Urusi kwenye Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya/ Klabu ya Simba ya Tanzania imeifunga goli 1-0 klabu ya Al-Ahly ya Misri

https://p.dw.com/p/3plIr