23.01.2021 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

23.01.2021 Matangazo ya Jioni

Maelfu ya watu wakamatwa Urusi katika maandamano ya kumuunga mkono kiongozi wa upinzani Alexei Navalny // Mtangazaji mkongwe Mmrakeni Larry King afariki dunia // Na Maafisa wa Afghanistan waukaribisha uamuzi wa utawala wa Biden kutathmini upya makubaliano na Taliban

Sikiliza sauti 60:00