1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.01.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S22 Januari 2019

Ujerumani na Ufaransa kutia saini mkataba wa ushirikiano/ Tanzania: Karume atoa ufafanuzi wa kisheria ubunge wa Lissu/ Rais wa Zimbabwe ameapa kuvichunguza vikosi vya usalama baada ya kutekeleza ukandamizaji wa kikatili dhidi ya waandamanaji, wanaharakati na waandaaji wa maandamano yaliyoibuka wiki iliyopita/ Mgomo wa walimu chuoni Makerere nchini Uganda umeingia siku yake ya pili

https://p.dw.com/p/3BxSY