1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.10.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S22 Oktoba 2019

Marais wa Uturuki Erdogan na Putin wa Urusi wamekutana mjini Sochi/ Kenya: Idadi ya watu walioga dunia kufuatia mvua kubwa ambazo zinaendelea kushuhudiwa imefikia 10 huku zaidi ya watu laki moja wakipoteza makazi yao/ Uganda: Shirika la Human Rights Watch kushtumu hatua ya mamlaka ya mawasiliano ya nchi hiyo kuzidi kubana shughuli zao kwa madai kwamba vinachochea wananchi.

https://p.dw.com/p/3RjVV