1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.10.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S22 Oktoba 2018

Ufalme wa Saudi Arabia watoa rambirambi kwa familia ya Khashoggi/ DRC: Wakaazi wa bonde la Ruzizi wanaishi katika hofu baada ya wapiganaji zaidi ya 300 kutoka Burundi kuvuka mpaka wa Congo / Kenya: Raila Odinga ameteuliwa kuwa mwakilishi mwandamizi wa Umoja wa Afrika kwenye masuala ya maendeleo ya miundombinu/ Australia yawaomba radhi watoto walioathirika na unyanyasaji wa kingono/

https://p.dw.com/p/36wFO