22.07.2020 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 22.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

22.07.2020 Matangazo ya Mchana

Tanzania: Magufuli amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo kutotumia nguvu za ziada katika kipindi chote cha kampeni za uchaguzi mkuu/ Shughuli za kiuchumi zaanza kurejea nchini Uganda/ DRC yatangaza kulegeza masharti ya kukabiliana na corona/ Rais Trump abadili msimamo kuhusiana na barakoa/ Mvutano wa wanachama wa NATO Ugiriki na Uturuki wapamba moto

Sikiliza sauti 59:59