22.06.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 22.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

22.06.2020 Matangazo ya Jioni

Marekani na Urusi zajadili mkataba kuhusu zana za nyuklia/ Serikali ya mjini Tripoli yasema Misri imetangaza vita/ Congo: Kamerhe ametangaza kuwa atabaki katika muungano na rais Tshisekedi licha ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa tuhuma za ufisadi> Mahojiano/ Umoja wa Afrika umeisimamisha Sudan Kusini kutoshiriki kwenye vikao vyake mjini Addis Ababa

Sikiliza sauti 60:00