22.05.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 22.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

22.05.2019 Matangazo ya Mchana

Wabunge wa bunge la Marekani wamesema maafisa wa Marekani wamejaribu kuwashawishi kwamba serikali ya rais Donald Trump inataka kuzuia uchokozi wa Iran/ Kenya-Idara ya ujasusi imemtaka Seneta wa Bungoma Moses Wetangula kujibu maswali kuhusu dhahabu bandia/ Mamilioni ya wapiga kura wa Ulaya wanakabiliwa na kitisho cha propaganda za vyama vya siasa kali katika mtandao wa Facebook.

Sikiliza sauti 60:00