1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.05.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S22 Mei 2019

DR Congo- Ripoti ya shirika la Muungano wa ulinzi wa elimu dhidi ya Mashambulizi kwa kushirikiana na Human Rights Watch inasema wasichana kadhaa walikumbwa na unyanyasaji wa kingono na madhila mengine// Licha ya onyo, kampeni za uchaguzi wa bunge la Ulaya zitagubikwa na zahma ya habari za uwongo, bado ni mapema kuashiria kama Umoja wa ulaya utaibuka na ushindi dhidi ya habari hizo za uwongo.

https://p.dw.com/p/3IrqX