1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.02.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S22 Februari 2018

Shirika la Kimataifa la fedha duniani IMF limesema limesitisha mkopo wa dola bilioni 1.5 kwa Kenya mwezi Juni mwaka jana baada ya kushindwa kuafikiana juu ya upunguzaji wa nakisi ya bajeti ya taifa// Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, alipoandaa kiapo cha yeye kutawazwa kama ‘rais wa watu’ mjini Nairobi tarehe 30 Januari, baadhi ya watu walikiona kitendo hicho kama cha kipuuzi.

https://p.dw.com/p/2t7lE