1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.09.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S21 Septemba 2021

Serikali ya Sudan inasema imezima jaribio la mapinduzi na hatua zinachukuliwa kudhibiti hali, huku washukiwa wakihojiwa+++Burundi, Bujumbura- Mashambulizi ya mabomu kadhaa yaliripuliwa maeneo ya mjini kati ambako kuna kituo cha mabasi+++ Ethiopia kufanya duru ya pili ya uchaguzi wa pili bila ya Tigrayy+++HRW: Wahanga wa ukatili wa kijinsia wakosa msaada Kenya.

https://p.dw.com/p/40bhu