1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.09.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Septemba 2018

Tanzania- Idadi ya waliopoteza maisha kufuatia kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere katika eneo la Ziwa Victoria Mkoani Mwanza imefikia watu 136/ Viongozi wa taasisi za kupambana na dawa za kulevya kutoka mataifa mbali mbali ya bara la Afrika Wamekubaliana kuongeza nguvu za kisheria katika kupambana na uchapushaji wa matumizi ya dawa za binadamu zinazosaidia kupunguza maumivu na kusababisha usingizi.

https://p.dw.com/p/35JcR